"UMITASHUMTA ni muhimu kwa watoto"
Wazazi nchini Tanzania wameashauriwa kutowazuia watoto wao kushiriki katika michezo mbal mbali ikiwemo ile ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Shule za Msingi UMITASHUMTA kwa lengo la kuinua vipaji vya michezo kwa watoto hao.
