Migogoro ya ardhi kushughulikiwa na mahakama
Tume ya kurekebisha sheria nchini Tanzania, imekabidhi serikalini mapendekezo ya marekebisho ya sheria iliyounda mabaraza ya ardhi ya wilaya na mikoa ili mamlaka ya mabaraza hayo yahamie katika mfumo wa kawaida wa kisheria ambao ni mahakama.

