Matapeli 'waliza' wateja ofisi za BRELA Waziri wa viwanda na biashara Dkt Abdallah Kigoda. Kumeibuka wimbi la matapeli ambao huwaibia watu wanaokwenda kupata huduma katika ofisi za makao makuu ya wakala wa usajili wa biashara na leseni za makampuni – BRELA jijini Dar es Salaam. Read more about Matapeli 'waliza' wateja ofisi za BRELA