CAG kutatua utata wa fedha za Escrow - Mwigulu
Naibu Waziri wa Fedha na uchumi Mwigulu Nchemba amefafanua kuhusu sakata la fedha katika akaunti ya Escrow ambapo amewataka Watanzania wasubiri ripoti ya mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali CAG, ripoti ambayo amesema itaeleza ukweli.

