Wanaume wawe chachu ya maendeleo kwa wake zao
Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwete amewataka wanaume kutokuwa kikwazo pale wanawake wanapotaka kujiunga na vikundi vidogo vya kuweka na kukopa kwa kuwa fedha hizo zitaweza kusaidia familia na kumuondosha mwanamke katika uchumi tegemezi.

