Hatma ya Michael Wambura kuamuliwa hii leo
Kamati ya rufaa ya shirikisho la soka nchini TFF inakutana hii leo kwa kikao cha dharura kwaajili ya kusikiliza rufaa nyingine ya aliyekua mgombea wa nafasi ya urasi wa klabu ya Simba Michael Wambura ambaye ameondolewa na kamati ya uchaguzi ya Simba

