STL kuja na Biashara 'remix' MSanii STL wa nchini Kenya Msanii mkali wa michano wa kike nchini Kenya Stella Mwangi aka STL ameibuka tena katika gemu akijiandaa kufyatua wimbo wake mpya uliobatizwa jina ‘Biashara’ Remix. Read more about STL kuja na Biashara 'remix'