Jose Chameleone kutoza dola
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone ameelezea kuwa hivi sasa anajiandaa kutoza kiasi cha dola 400 za kimarekani ambazo ni sawa na shilingi milioni moja za Uganda kwa ajili ya tiketi za watu muhimu yaani VIP kwa ajili ya tamasha lake.

.jpg?itok=Tl0s210y)