Kili Music Tour yaanza kuiwasha Iringa

Leo hii patakuwa hapatoshi pale Iringa ambapo kuanzia muda huu ile ziara gumzo ya muziki, aka Kili Music Tour 2014 ipo tayari kabisa kwaajili ya bonge moja la shoo kutoka kwa wasanii wakali wanaotamba kwa sasa nchini Tanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS