Kuenguliwa Wambura wanachama Simba watofautiana
Baadhi ya wanachama wameonesha kukerwa na maamuzi ya kamati ya rufani ya uchaguzi ya TFF kwa kuikataa rufaa ya Wambura Michael huku baadhi yao wakisema haki imetendeka na wakimtaka mgombea huyo kuheshimu maamuzi ili kuleta amani klabuni hapo
