Tenga kusimamia mfuko wa maendeleo ya soka TFF

Rais wa zamani wa TFF Leodgar Tenga

Rais wa zamani wa TFF Leodgar Tenga ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa mfuko maalum wa maendeleo ya soka utakaoanzishwa hivi karibuni na shirikio la soka Tanzania TFF.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS