Nuwa kuwakilisha vyema UG
Msanii maarufu wa sanaa ya uchoraji kutoka nchini Uganda, Nuwa Wamala Nnyanzi anawakilisha vizuri nchi yake huko Azerbaijan, katika tamasha la sanaa la kimataifa ambalo linatambulika kwa jina Maiden Tower, na kukutanisha wasanii mbali mbali.