Serikali mbioni kukuza elimu ya VETA kwa vijana

Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda.

Serikali imesema iko katika mkakati wa kukuza elimu ya vyuo vya ufundi ili kukuza uchumi na kupunguza kasi ya vijana kukimbilia mijini ambako ndiko wanakodhani kuna fursa za ajira.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS