Gordon Brown aipongeza TZ katika Elimu

Rais Kikwete akiwa na waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Gordon Brown

Waziri mkuu wa zamani wa Uingereza Gordon Brown ameisifu na kuipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika bara la Afrika kwa uandikishaji watoto shule.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS