RT kuwapima waliokwenda nje kujiandaa madola
Michuano ya Taifa ya riadha itakayoshirikisha mikoa yote Tanzania bara na visiwani inataraji kuwapa changamoto wanariadha wa Tanzania walioko nje ya nchi wakifanya mazoezi ya kujiandaa na michuano ya madola 2014

