Bobi Wine afiwa na kaka Msanii wa Uganda Bobi Wine Kutoka nchini Uganda, msanii wa muziki Bobi Wine ameingia katika majonzi mazito kufuatia kukumbwa na msiba mzito baada ya kaka yake anayejulikana kwa jina James Kayanja Sentamu kufariki dunia. Read more about Bobi Wine afiwa na kaka