Tanzania bado inakabiliwa na umaskini - Serikali

Waziri wa fedha na uchumi Bi. Saada Mkuya Salum.

Serikali ya Tanzania imesema kiwango cha umasikini wa mahitaji ya msingi kwa Tanzania Bara kimeendelea kuwa chini kwa asilimia 28 ikiwa ni pamoja na uhitaji wa chakula kwa wakazi wa mijini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS