Vijana wametakiwa wajitume ili waweze kujiajiri
Vijana wanaomaliza elimu ya juu nchini Tanzania wameshauriwa kuwa na mbinu mbadala ambazo zitawezesha kujiajiri badala ya kukaa vijiweni na kuisubiri serikali kuwapatia ajira jambo ambalo limeelezwa kupita na wakati.

