BRN yatajwa kuzorotesha kiwango cha elimu

Wanafunzi wa moja ya shule zilizopo wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga nchini Tanzania

Baadhi ya wadau wa elimu nchini Tanzania wamezidi kuupigia kelele mfumo wa elimu Tanzania, huku wakitupia lawama kwa mpangao wa Matokeo Makubwa Sasa kwa kutoweka ushindani unaotakiwa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS