Mwananyamala na Uhaba wa Vipimo
Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, inakabiliwa na uhaba wa vipimo vya ugonjwa wa dengue, vipimo ambavyo vinapatikana kwa uchache katika kituo maalum cha Utafiti kilichojengwa kwa muda na taasisi ya Ifakara Health Institute.