Sauti Sol katika mitindo
Kundi la muziki kutoka Kenya, Sauti Sol wameingia kwa kishindo katika ulimwengu wa mitindo ya mavazi na kuonyesha uwezo mkubwa, na hii ni kutoka katika ushiriki wao katika kipengele cha mitindo ya wanaume cha jarida maarufu nchini Kenya.

