Chameleone kukwea Mlima Kagulu
Msanii Jose Chameleone ambaye ni balozi wa mahusiano mema wa Utalii huko Busoga Uganda, anatarajia kushiriki katika zoezi la kupanda Mlima Kagulu huko Buyende Uganda, kama moja ya jitihada za kuhamasisha utalii wa ndani wa nchi hiyo.