Castro na mpenzi wake wafa maji Msanii wa muziki wa Ghana Castro na mpenzi wake Ghana imepata pigo la kuondokewa na msanii maarufu wa muziki nchini humo Theophilus Tagoe a.k.a Castro ambaye amefariki katika ufukwe uitwao Aqua safari beach wakati akimwokoa mpenzi wake. Read more about Castro na mpenzi wake wafa maji