Noti ya Shillingi 500 Kubadilishwa.

Noti ya Shilingi mia tano

Watanzania wametakiwa kutokuwa na wasiwasi wa kushuka kwa thamani ya shilingi kutokana na kubadilishwa kwa noti ya shilingi 500 kuwa sarafu kwa kuwa thamani yake itabaki pale pale.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS