Bodaboda wahoji dhana ya wao kujiajiri
Waendesha bodaboda Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, leo wamehoji ipo wapi dhana ya wao kujiajiri, huku mamlaka ya mkoa na jiji hilo zikiwazuia kuingia na abiria kwenye maeneo ya katikati ya jiji la Dar es Salaam.

