Serikali kuanzisha mamlaka mpya ya wanyamapori
Waziri wa Mali asili na Utalii nchini Tanzania Lazaro Nyalandu amesema hadi kufikia mwisho wa mwezi ujao serikali itakuwa imeajiri jumla ya askari wa wanyamapori 430 kwa lengo la kukabiliana na ujangili.