Waziri atoa somo kwa chama cha msalaba mwekundu
Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii nchini Tanzania Dk. Self Rashid amekitaka chama cha msalaba mwekundu kuwatumia vijana mashuleni kwa kuwapatia mafunzo ya utoaji huduma za kibinadamu ili huduma zitolewazo na chama hicho ziwe endelevu.