Kamati ya Tanzania kwanza kuhamasisha amani

Mjumbe wa kamati ya Tanzania kwanza nje ya bunge, msanii Steve Nyerere.

Kamati ya Tanzania Kwanza nje ya Bunge imeandaa mikutano ya hadhara itakayofanyika nchi nzima yenye lengo la kuhamasisha Amani kwa wananchi wa Tanzania hasa wakati huu ambapo nchi ipo katika mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS