Vanessa awangojea Sauti Sol Msanii wa muziki nchini Tanzania Vanessa Mdee Msanii wa muziki wa kike wa miondoko ya Afro Pop nchini Vanessa Mdee aliyetwaa tuzo ya Kili Music kwa mwaka huu kwa wimbo wake 'Hawajui' yupo mbioni kufanya kolabo na kundi la Sauti Sol nchini Kenya. Read more about Vanessa awangojea Sauti Sol