CHANETA yahitaji fedha zaidi kuendeleza vipaji
Chama cha netball Tanzania CHANETA kimesema bado kinatafuta fedha kwa ajili ya kuendeleleza program za mchezo huo kwa vijana hasa kuanzia mashuleni mpaka vyuoni ambako ndiko kunapatikana vijana wengi na wenye vipaji.