Wasiwasi wa dosari BVR mkoa wa Tabora

Zoezi la uandikishaji wapigakura linalotarajiwa kuanza manispaa ya Tabora leo, huenda likaingia dosari kutokana na upungufu wa kadi za kupigia kura na uchache wa vituo vya kujiandikisha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS