Wanariadha washindwa kujiunga kambi mazoezi Kenya

Wanariadha wawili kati ya watatu waliosaini mkataba wa kujiunga na Kipkeino kilichopo Eldoret nchini Kenya kwa ajili ya kujiandaa na michezo ya Olimpiki Rio 2016 wameshindwa kuondoka nchini baada ya kuchelewa kupata ruhusa kutoka kwa mwajiri wao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS