Twiga kambini kujiandaa na michuano ya Afrika Juni

Timu ya taifa ya wanawake, Twiga Stars inatarajiwa kuingia kambini katika wiki ya pili ya mwezi Juni kujiandaa na michuano ya All African Games inayotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu nchini Congo Brazzavile.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS