Tumekwishapeleka fedha za wanafunzi Bodi: Nchemba
Serikali kupitia wizara ya fedha imesema imekwishapeleka fedha za mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kwenye taasisi husika na kuwataka viongozi waliopewa jukumu la kupeleka vyuoni pesa hizo kuzifikisha haraka ili kutatua tatizo hilo.