TGU kuandaa vijana kushiriki Olimpiki Rio 2016 Chama cha mchezo wa Gofu nchini TGU, kimeanza kuandaa vijana watakaoshiriki michuano ya Olimpiki Rio 2016 endapo mchezo huo utafanikiwa kuingizwa kwenye orodha ya michezo shiriki. Read more about TGU kuandaa vijana kushiriki Olimpiki Rio 2016