M2THEP: Vijana tushiriki Uchaguzi #ZamuYako2015 M2THEP Msanii wa muziki M2TheP, ametumia nafasi yake kama kijana mwenye ushawishi katika jamii kuwashawishi vijana kujiandikisha kwa wingi na kushiriki katika suala zima la uchaguzi mwezi Oktoba mwaka huu. Read more about M2THEP: Vijana tushiriki Uchaguzi #ZamuYako2015