Wadau wamtaka kocha Stars kuondoka

Wadau wa Soka nchini wamelitaka Shirikisho la Soka nchini TFF, kufanya mabadiliko kwa upande wa kocha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na kuleta kocha atakayeleta manufaa kwa timu na kwa nchi kiujumla.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS