Prison yasaka pointi tatu Morogoro dhidi ya Kagera
Baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya ndugu zao Mbeya City, maafande wa Tanzania Prisons wanatarajia kupiga kambi ya siku nne mkoani Morogoro kujiandaa na mchezo wao wa mwisho dhidi ya Kagera Sugar.