Hatimaye Shilole asamehewa
Staa wa Shilole baada ya sakata lake la kusambaa kwa picha zinazoonesha sehemu ya maungo yake ya siri hadharani akiwa katika onesho huko Ubeligiji, hatimaye amejisalimisha BASATA kujieleza na kusamehewa rasmi kwa kosa alilofanya.