One ashangaa kuuza albam

msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini One The Incredible

One The Incredible, star wa muziki wa Hip Hop, kwa miezi kadhaa sasa amefanikiwa kuiweka albam yake sokoni katika kipindi hiki cha malalamiko kuhusu soko duni la Albam za wasanii wa kitanzania.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS