Ngeleja atangaza nia rasmi anadi kuimarisha uchumi
Mbunge wa jimbo la sengerema, william ngeleja, ametangaza nia ya kuwania urais kupitia chama cha mapinduzi (ccm) huku akieleza dhamira yake ni kuliwezesha taifa kuwa na uchumi wa kati unaojitegemea kufikia mwaka 2025.