Makada wa CCM waendelea kushambulia fomu za urais Makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameendelea kujitokeza hii leo kuchukua fomu za kuomba kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Read more about Makada wa CCM waendelea kushambulia fomu za urais