CHADEMA yaitaka NEC kuongeza mashine za BVR
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimeitaka tume ya taifa ya uchaguzi kuongeza muda wa kuandikisha watu katika daftari la kudumu la wapigakura na kuongeza mashine za BVR zinzazotumika kuandikisha watu kwa ajili ya kuharakisha zoezi hilo.