Sweden yaridhishwa na maendeleo ya Tanzania

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wafanyakazi wa SIDA katika makao makuu ya shirika hilo la maendeleo la Sweden jijini Stockholm

Serikali ya Sweden imesema inaridhishwa na kiwango cha maendeleo ya kiuchumi ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS