TFF kutafakari kujiuzulu kwa Blatter Rais wa Shirikisho la Soka nchini TFF Jamal Malinzi amesema bado wanaendelea kutafakari suala zima la kujiuzulu kwa Rais wa Shirikisho la Soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter. Read more about TFF kutafakari kujiuzulu kwa Blatter