Pallaso kutoa ya moyoni baadaye wasanii wa Uganda Jose Chameleone na Pallaso Star wa muziki Pallaso wa nchini Uganda ambaye pia ni mdogo wa star wa muziki Jose Chameleone, ametangaza rasmi kutoka nje ya Menejimenti ya Team No Sleep aliyokuwa akifanya nayo kazi. Read more about Pallaso kutoa ya moyoni baadaye