Uchaguzi vinyoya wapelekwa mbele mpaka Mei 16 Uchaguzi wa chama cha mpira wa vinyoya nchini TBA uliokuwa ufanyike Mei tatu mwaka huu umepelekwa mbele mpaka Mei 16 mwaka huu kutokana na idadi ndogo ya wagombea kujitokeza. Read more about Uchaguzi vinyoya wapelekwa mbele mpaka Mei 16