Octopizzo; Wakimbizi wasisahaulike
Rapa Octopizzo kutoka nchini Kenya ameendelea kutumia nafasi yake kama msanii kumulika changamoto ambazo wakimbizi wanakabiliana nazo katika kambi zao, hususan huko nchini Kenya akiwa balozi wa mahusiano mema kutetea haki za wakimbizi chini ya UNHCR.

