Semina ya mabondia kufanyika kesho Dar es salaam

Semina kwa mabondia iliyoandaliwa na Shirikisho la Masumbwi nchini PST kwa kushirikiana na Shirikisho la Ngumi za Kulipwa Tanzania TPBO inatarajiwa kufanyika kesho jijini Dar es salaam kwa kushirikisha mabondia wanaotarajiwa kupambana Jumamosi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS