Wabunge wauaga mwili wa Mwaiposa Dodoma

Waziri mkuu wa Tanzania Mh Mizengo Pinda leo amewaongoza wabunge wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa jimbo la Ukonga jijini Dare s salaam Marehem Eugen Mwaiposa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS